Karibu Simbas Footprints Foundation

 
 

Simbas Footprints Foundation ni shirika lisilo la kiserikali nchini Tanzania lililosajiliwa kwa namba (No. 07/NGO/08401) linalo wawezesha watoto kwenye jamii kupata huduma muhimu wanazo kosa ili kuwajenga kitaaluma, kijamii na kihisia kupitia programu mbalimbali zinazotolewa ndani ya  kituo chetu cha Simbas pamoja na kwenye jamii zinazotuzunguka.

 

Ahsanteni wafadhili wote wa Simbas Footprints Foundation:

 
Screen Shot 2017-10-17 at 9.15.37 PM.png